Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Asubuhi asubuhi harufu ya gumboot na BIG G