Origin: -
Use: Mawetsere zime jaa hapa jo! = This place is full of find bums!
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ma-we-se-re ]
No replies yet. Start the conversation.
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua