Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
aty shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya