Origin: CBD
Use: Mabeste wangu wamepoa pale = My friends are seated over there
Period: Late 80's
Synonyms: Mabeshte
Pronounciation: (Noun) [ ma-be-ste ]
Relate: Wasee Wadhii Madem Machali Mamanzi Famo
History: Derived from the English word BEST Friend
No replies yet. Start the conversation.
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Budako huhepa job ku-slide na socks
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje