Origin: Unknown
Use: Ingia kwa hiyo gari iko hasapo lembe = Get into the car that is in front.
Period: Late 90's
Synonyms: Place Pasale Piwa Brus Nani
Pronounciation: (Verb) [ leh-mbe ]
Variations: -,
History: Reversal of the Swahili word "MBELE" which describes the position of front or ahead
No replies yet. Start the conversation.
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate