Origin: Unknown
Use: Hizo brus zangu ziko wapi? = Where are my things?
Period: Late 90's
Synonyms: Samdhech Samo Samdho Brus Burungo
Pronounciation: (Noun) [ broos ]
Relate: Miscellaneous items
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy