Origin: Unknown
Use: Kumarwa kwa wasee pale ilibidi stanje iwekwe = Polis station had to be put there because people were beaten there.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Kuu-maa-rwah ]
Relate: Kuvaliwa
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
Budako mblack akilala kwa road madere wanafikiri ni speed bump
Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
Budako huhepa job ku-slide na socks