Origin: Unknown
Use: Kuvaliwa na ma karao si poa = To be beaten by cops is not good
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ koo-va-lee-wa ]
Relate: Kubeatika
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.