Origin: Unknown
Use: Chunga ule boy anaweza kukudhanya = Be carefull that boy can steal from you
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-ku-dha-nya ]
Relate: Kukugondi Kukusanya Kukuchai Kukupinji
History: Derived from the sheng word 'SANYA' which means to steal
No replies yet. Start the conversation.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”