Origin: Unknown
Use: Chunga sana daudi anaweza kukuchai = Take care David can steal from you
Period: Mid 90's
Synonyms: Kukudingo Kukusanya Kukudhanya Kukupinji
Pronounciation: (Verb) [ koo-koo-chaa-eeh ]
No replies yet. Start the conversation.
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Sistako mshort aneza temebea chini ya bed
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji