Origin: Unknown
Use: Kukatsina na ule mdem siwezi penda = To mis understand with that lady i wont like
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ko-kat-see-ana ]
Relate: Mezesheana
History: Derived from the sheng word 'KATSIANA'
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja