Origin: Unknown
Use: Tangu Anny apate waks naona ameanza kukafunga = Ann is getting rich since she started working
Period: Unknown
Synonyms: Kukaupunch Kudosika Kuomoka
Pronounciation: (Verb) [ koo-kah-foo-n-ga ]
No replies yet. Start the conversation.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai found new hardware.
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.