Origin: Unknown
Use: Nilipo fika kwa ile coner kujishasha ndio ilibaki nizangu = When i reached that conner i was very nerverse
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Ko-je-sha-sha ]
Relate: Njeve Breeze Waba Fridge
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
We ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off…
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati