Origin: Unknown
Use: Leo inaonekana nitafyang mapema = Today it seems i will leave early.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Kuh-fya-ang ]
Relate: Kujitoa
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate