Origin: Buru 1
Use: Ukiwa kwa gari kama unaweza kudigee inje utaniona = As you will be in the car if you take a look out you will see me
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ko-de-gee ]
Relate: Kucheki Kulolola Kudigi Kudigii
No replies yet. Start the conversation.
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua