Origin: Unknown
Use: Nitapitia mtaani kwenyu kudigii hiyo movie nira uko nayo = I will pass by at your place to check out the new movie that you have
Period: Unknown
Synonyms: Kucheki
Pronounciation: (Verb) [ koh-dee-gee ]
No replies yet. Start the conversation.
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa