Origin: Unknown
Use: Oti sitaki kuchek kila time ma kublanda = Otieno i dont want to see every time you messing up
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koh-bla-ndah ]
Relate: Noma Ngori Tafash Mezesh Mezesha Genje Ngori
History: Derived from the english word ''blander''
No replies yet. Start the conversation.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?