Origin: Unknown
Use: Mathree asubuhi zikuwa zina pitia kijee = Public service vehichle were passing thruogh Majengo
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Kee-jeeh ]
Relate: Majei
History: Derived from a swahili word 'MAJENGO' which means contraction.
No replies yet. Start the conversation.
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta