Origin: Unknown
Use: Mark ame kazwa na manzi yake niaje? = Mark is being harassed by his girlfriend.
Period: Early 80's
Pronounciation: (Noun) [ Ka-zwaa ]
Variations: -,
History: Derived from Swahili word Kazwa which means tighten
No replies yet. Start the conversation.
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow "Good evening?"
Ati siz yako ni mnono mpaka chali yake humshow ‘u r 2 in a million.
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut