Origin: Unknown
Use: Hiyo burungo ni kapa wan = That thing costs a thousand shillings
Period: Unknown
Synonyms: Thao Mote Brown Ngiri Tenga Bop Ndovu Braumba Kibrown Ngwanye Braumba Ngwanyi Kavu
Pronounciation: (Noun) [ kah-pah ]
Variations: Kapaa,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu