Origin: Unknown
Use: Ikikafi jioni itabidi kukanyaga = When it reaches in the evening we will have to walk
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Verb) [ Kah-nya-gah ]
History: Derived from the swahili word 'KANYAGA' which means to 'STEP'
Clarification: Not to be confused with the swahili word which means to< STEP>,
No replies yet. Start the conversation.
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack