Origin: Uknown
Use: Nimekaribia ku kafi nimtaa. = I am just about to reach at home.
Period: Early 2000
Synonyms: Land
Pronounciation: (Verb) [ Ka-fee ]
Variations: Kafee
History: The word was reversed from the original word in swahili "fika" meaning reach.
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua