Origin: Unknown
Use: Jintiki zangu zote zime chapa = All my jeans (pants) are worn out.
Period: Early 2000
Pronounciation: (Noun) [ Jee-ntih-kee ]
Relate: Clothing
History: Derived from the English word, "JEANS", which are a type of garment, mostly pants
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.