Origin: Unknown
Use: Ni weather ya mvua itanibidi nifufue jako = Its rainny season i will have to wash my jackets.
Period: Unknown
Synonyms: Jale
Pronounciation: (Noun) [ Jah-koo ]
Variations: -,
History: Derived from english word 'JACKET'
No replies yet. Start the conversation.
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Budako huhepa job ku-slide na socks
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji