Origin: Unknown
Use: Linda amebonda dudu yake = Linda had an accident with her (small) car
Period: Mid 2000
Synonyms: Ndai Dinga Moti Mrenga Wheels
Pronounciation: (Noun) [ Doo-doo ]
Relate: Automobiles
No replies yet. Start the conversation.
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Ati siz yako ni mnono mpaka chali yake humshow ‘u r 2 in a million.
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?