Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch