Origin: Unknown
Use: Chogi wa kwetu ni mrong hata habebangi rungu! = Our night guard is so tough he doesn't carry a baton/club
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ choh-gee ]
Relate: Security
No replies yet. Start the conversation.
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua