ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
We ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off…