Origin: Unknown
Use: Machizi wanafaa wachungwe vipoa= Mad people should be taken care of well.
Period: Early 2000
Pronounciation: (Verb) [ chee-zee ]
Variations: Chize, Chizi,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes