Origin: Unknown
Use: Jake yao ni bwaku jo! = Their house is so big!
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Bwaah kuh ]
Variations: -,
History: Reverse sheng for Swahili Kubwa
No replies yet. Start the conversation.
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen