Origin: Unknown
Use: Bro wa mine ni fala = My brother is stupid
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ bro ]
Relate: Mtaani Mbuyu Mdabus Mniaju Mso Msodi Mdonye
Variations: -,
History: Contraction of the English word "Brother"
No replies yet. Start the conversation.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!