Origin: Unknown
Use: Buda Andre auski bado yeye hu ng'ara boka nika = Imagine Andrew's dad he still wears knickerbockers
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Boo-kaah-Nii-kaah ]
Relate: Tisho Trao Ngodha Vestiki Tishado
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute