Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.