Origin: Unknown
Use: Nilikuwa na agiza hii ndae yako kama na weza tumia = i want to ask for your your car if i may use
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ah-ge-za ]
Variations: Ageza,
No replies yet. Start the conversation.
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege