Origin: Unknown
Use: We kwenda! Manzi yako ni ka zinja! = Go away! Your girlfriend is so old!
Period: Early 60's
Pronounciation: (Adjective) [ zee-n-jah ]
Variations: -,
History: From Zinjanthropus
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis