Hannah Ruguru
@user869
ยท
๐คฃ๐๐๐
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
We ni dentist mpro hadi unangโoa blue tooth ya phone yako.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust