Origin: -
Use: Kwani ni whodhes na huyu mdhi? = What's with this guy?
Period: Late 80's,
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ whot-dhe ]
History: Mid-eighties style of adding the suffix "dhe" to words
No replies yet. Start the conversation.
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi