Origin: Unknown
Use: Pitia hii waroshio... hakuna ma karao huku = use this road! there are no cops here!
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ wa-ro-she-yo ]
Relate: Baro
Variations: Warosho,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu