We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu