Origin: Unknown
Use: Jana kina Voke walikutwa na wagondi mtaani = Yesterday thieves broke into Kevins house
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Pronoun) [ Wa-go-ndi ]
Relate: Makarao Mavedi Mariamu Ndechu Mariamu
Variations: -,
History: Plural form of the sheng word "Mgondi"
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear