Origin: Unknown
Use: Naule mjama anakuwaga na vibe = That guy has a general feeling to chicks
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Pronoun) [ Vaa-eeb ]
History: Derived from the english word 'VIBE'
No replies yet. Start the conversation.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja