Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Buda ako ni mjinga, first time kupanda ndege alisema shukisha junction
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate