Origin: Unknown
Use: Utavuta waya ujue kama mdosi ameingia = You will have to call to know if the boss is in
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ooh-tah-voo-tah-waa-yah ]
No replies yet. Start the conversation.
Breathe yako sumu ukiyawn asubuhi jogoo hudedi
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
Budako mblack akilala kwa road madere wanafikiri ni speed bump
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi