Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako