Origin: Unknown
Use: lazima nikiwa juu ya veve nji chane na ma uchu - its a must i take peanuts while chewing khat
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ uuu-chuuu ]
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1