wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela