Origin: Unknown
Use: Nikupate umetindi utanitambua = If i find you drunk you will get to know me.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Tee- ndee ]
No replies yet. Start the conversation.
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama