Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut