Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo