naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on